Wanawake wengi wanajikuta wana uzito fulani kuhusu mambo ya ndani(intimacy)Afya ya akili(Mental health ) ni muhimu na ni mazungumzo ambao yanabidi yazungumzwe kwa uwazi ili wanawake wasijisikie wako peke yao kwenye mambo mengi kwa hofu ya kudhalilishwa au kitiwa /kujihisi aibu kuwa wanapitia mengi yalokuwa yanawabomowa kisaikolojia.Jumuika nami tukuwa na wazungumzaji tofauti kila wiki tujijenge kiafya.
Mazungumzo haya ni kuhusu heshima za siri za kiwiliwili cha mwanamke-THE COOKIE,mafunzo,upeo wa ufahamu,madhara ya kutokuwa ya elimu hii na mapuuzaji ...
Kuaminiana/trust kwenye mahusiano endapo mahusiano yamepoteza kutokuaminiana,vipi mnarudi pazuri.Mbinu au jinsi Mme/Mke anasamehe makosa makubwa kwa a...
Mazungumzo haya ni ya kutoa mtizamo wa mke mwenza/The other woman maana anakuwa sauti yake haisikilizwi kwa kuonekana yeye ndo alikuja kuchafua nyumba...
Kujipenda/Self love ni muhimu kwa sote binadamu maana usipo jipenda wewe mwenyewe atakupenda nani?Umuhimu wa kujipenda kwenye jamii au kwenye mahusian...
Cuisine za Chumbani inagusia mengi ya Chumbani kuanzia umuhimu, mbinu za kuboresha mahusiano,faida na mambo gani yanaweza kukwaza kutokwenda sambamba ...
Mazungumzo ya leo ni kuhusu mpango wa kando na mitihani inayopitiwa kwenye mahusiano ya ndowa.kuna mengi yepi yanayowakabili watu hata wakajikuta kwen...
Nini neno Deka na vitendo vyake,kwa kizungu tunasema Undivided attention. Nguvu za kike na kiume na jinsi kukuza mahusiano yetu kea kujielimisha na ku...