Ni salama rohoni mwangu ni Podcast inayokusaidia kuboresha mahusiano yako na Mungu kupitia mafundisho mbalimbali yanayotolewa na wahubiri, walimu na wachungaji kiganjani mwako. Tunakusaidia kuweza kuanza siku vyema ukiwa na neno la mungu kama taa itakayokuwa ikikuongoza katika shughuli zako za kila siku. Kupitia Ni Salama tutakuletea mafunzo na masomo yatakayokuwezesha kuelewa zaidi neno la Mungu linalopatikana kwenye Biblia huku tukikuongezea hamu na mvuto wa kuisoma Biblia yako. Karibu
Tutakusanyika mbele za Bwana tutaimba na kushangilia. Kama Yesu asingekufa msalabani safari yake ingekuwa bure. Maana angeishia kuponya watu na ingeku...
Katika siku hizi za mwisho ambazo Yesu anakaribia kurudi dunia lazima ijue, mkubwa kwa mdogo lazima wajue kwamba kurudi kwa Bwana kumekaribia. Biblia ...
Na Biblia inasema Yesu siku za mwisho hatakuja hapa duniani, kwa sababu maandiko yanasema kile kiti cha enzi kikubwa cheupe, kiti cha hukumu dunia ita...
Kama huna uhakika Yesu akikuita muda huu huna uhakika hakikisha leo unaokoka Wakati fulani tulisafiri na mzungu mmoja alikuwa ni mjerumani toka Arusha...
Tunapozungumza juu ya kumtumikia Mungu watu wengi sana hufikiria watu wachache tu yaani wahubiri, wachungaji, wainjilisti au wanaofanya kazi kanisani....
KUMWAMINI MUNGU KWA KUMFUATA/KUPITIA KWA YESU KRISTO. Ukisoma Luka 8:12 “Wale wa karibu na njia ndio wasikiao, kisha huja Ibilisi akaliondoa hilo neno...
KUMWAMINI MUNGU KWA KUMFUATA/KUPITIA KWA YESU KRISTO. Hapa nilitaka uone katika ule mji Yesu alimpata mtu mmoja tu kwa lugha ya sasa tungesema “kwenye...
Kwa hiyo tangu wakati ule kuna vitu ambavyo alivyokuwa anafanya moja kwa moja vinazaa tena mfano wa kile kitu alichobeba. Sasa unaweza ukaelewa kwa ni...
Baada ya sala na mafundisho ya Mwalimu Christopher Mwakasege changia huduma ya Mana Ministries iweze kuendelea, kukua na kufikia watu wengi zaidi ndan...
Maana akili zako zinakuwa zimebanwa kabisa unapata pesa na unazitumia kienyeji kienyeji tu. Ili uweze kuelewa tafuta watu waliostaafu. Wengi sana wana...