Makala haya yanaangazia maendeleo ya michezo mbalimbali Ulimwenguni na pia huwa haiwaweki kando wanamichezo waliobobea na vilevile kufanya uchanganuzi wa kina wa michezo wakati wa mashindano mbalimbali.
Michezo ya Olimpiki, iliyocheleweshwa kwa mwaka mmoja kutokana na janga la Covid 19, imeanza rasmi huko jijini Tokyo nchini Japan. Tunajadili nafasi y...
Miongoni mwa yale tunayokuandalia ni pamoja na fainali ya klabu bingwa barani Afrika katika mchezo wa soka, maandalizi ya michezo ya Olimpiki na kumal...
Italia ndio mabingwa soka barani Ulaya. Mserbia Novak Djokovic ashinda taji la Wimbeledon katika mchezo wa Tennis nchini Uingereza. Tunaangazia hili n...
Michuano ya kuwania taji la soka barani Ulaya, yamefikia katika hatua ya nusu fainali. Michuano ya Tennis ya Wimbledon, kukimbiza baiskeli Tour de Fra...
Mashindano ya dunia ya kukimbiza magari, Kenya Safari Rally, yaanendelea kupamba moto, tutakuletea pia ripoti kutoka Rwanda kuhusu bingwa wa soka nch...
Miongoni mwa yale tuliyokuandalia Jumamosi hii kwenye Jukwaa la Michezo ni pamoja na , rais wa Shirikisho nchini DRC Constatine Omar ajiuzulu nchini ...
Michuano ya soka kuwania taji la bara Ulaya, imeanza kutifua vumbi. Mashindano ya kuwania taji la French Open katika mchezo wa Tennis, yanafika tamati...
Miongoni mwa yale tunayajadili Jumamosi hii kwenye Jukwaa la Michezoni hatua ya Naomi Osaka kujiondoa kwenye michezo ya mwaka huu ya Tennis ya French ...
Michuano ya soka hatua ya robo fainali, mzunguko wa pili, kuwania taji la klabu bingwa barani Afrika, ligi ya mchezo wa kikapu barani Afrika na kumal...
Michuano ya soka hatua ya robo fainali, mzunguko wa pili, kuwania taji la klabu bingwa barani Afrika, ligi ya mchezo wa kikapu barani Afrika na kumal...