Gurudumu la Uchumi
Share:

Listens: 23

About

Fahamu masuala kadha wa kadha kuhusu uchumi kama vile, namna ya kupambana na umaskini, mfumuko wa bei, kushamiri kwa matumizi ya dola na athari za kuyumba kwa uchumi wa dunia kwa nchi za Afrika. Mada hizi zinafanyiwa utafiti wa kina na zinazungumzwa kwa lugha rahisi inayoeleweka ili kukufanya uelewe na usichoke kusikiliza .

Fursa ya Kilimo Biashara

Makala ya Gurudumu la Uchumi, juma hili inaangazia namna bora ya kufanya kilimo chenye tija ambacho kitamsaidia mkulima na nchi za Afrika Mashariki ki...
Show notes