Deutsch – warum nicht? Fungu 1| Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Share:

Listens: 133

About

Andreas anafanya kazi kwenye Hotel Europa iliyoko katika mji wa Aachen ili apate kugharamia masomo yake ya uandishi habari. Vituko vinaanza baada ya kutoweka kwa mwanamuziki maarufu kutoka chumba nambari 10. Mambo muhimu ya sarufi: Mnyambuliko wa vitenzi, viwakilishi-nafsi, maswali mepesi, uhusika wa moja kwa moja.

Somo 26 – Ninakualika

Herr Thürmann ana kazi ya kumpatia Andreas – mjini Berlin... Muhtasari wa sarufi: Vitendo vinavyotenganishwa
Show notes

Somo 22 – Ne mkewe je?

Katika ukumbi wa hoteli: Frau Müller na Frau Hoffmann... Muhtasari wa sarufi: Vidhihirishi vya umiliki (possessive pronoun)
Show notes