AfisaAfya ni podcast pekee ya lugha ya Kiswahili itakayokuwa inawaletea mada, mijadala na mahojiano kuhusu afya ya mwanadamu na jinsi ambavyo afya zetu zinaweza kuathiriwa na mazingira tunamoishi, kila siku ya jumapili.
Ndugu S. Karata akizungumzia Ukaguzi wa Nyama, Majukumu ya AfisaAfya kama mkaguzi wa nyama, sheria zinazosimamia Ukaguzi wa Nyama, malengo ya ukaguzi ...
Historia, visababishi, jinsi unavyoenea, makundi ya watu walio hatarini zaidi, madhara lakini pia ni kwa namna gani tunaweza kujilinda na maambukizi y...