YOUTH FUND AND WOMEN ENTERPRISE FUND

Share:

Listens: 41

Marion Mwange Podcast

News


Tangu kuzinduliwa kwa hazina ya fedha ya vijana na ile ya kina mama(YOUTH FUND AND WOMEN ENTERPRISE FUND) Vijana wengi pamoja na akina mama wameweza kunufaika kutokana na hazina hizi ambazo zimewasaidia kujikuza na kujiendeleza kimaisha.