Wataalamu, nchi haziwezi kukwepa kukopa

Share:

Gurudumu la Uchumi

Miscellaneous


Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili, inaangazia suala la ukopaji na madeni yanayozikabili nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, na ni baada ya kuibuka mijadala kuhusu namna nchi za Kenya na Tanzania na mataifa mengine wanachama zinakopa.