Vijana katika kipindi cha Corona na changamoto za kisaikolojia

Share:

Gurudumu la Uchumi

Miscellaneous


Msikilizaji idadi ya vijana barani Afrika inaendelea kuongezeka kwa kasi nah ii ni kwa mujibu wa shirika la umoja wa Mataifa la Uchumi na maendeleo ya Jamii, Mfano mwaka 2015 kulikuwa na vijana milioni 226 walio kati ya umri wa miaka 15-24, na inakadiriwa kuwa ifikapo 2030 vijana wataongezeka kwa asilimia 42 na wanatarajiwa kuongezeka mara mbili zaidi ifikapo mwaka 2050. Mtayarishaji wa makala haya, amezungumza na Naamala Samson, mhamasishaji vijana, na Macquiline Francis, mwanasaikolojia.