Utangulizi: UANAUME RIJALI

Share:

Afya Digito

Miscellaneous


Uanaume Rijali siyo ugonjwa bali ni changamoto ambayo mwanume anapitia. Unapokosa nguvu za kiume, ndipo tunasema sio mwanaume rijali. Katika podcast hii utaelezwa nini maana ya uaname riajali na mambo matatu (3) unayopaswa kuyafahamu. Karibu na asante sana kwa kusikiliza podcast yetu.