TAMASHA LA UTAMADUNI LA BULABO - MWANZA

Share:

Ikulu Tanzania

Miscellaneous


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa Tamasha la Utamaduni la Bulabo Mkoani Mwanza katika uwanja wa Red Cross Ngomeni, Kisesa Mkoani Mwanza.