Sitosahau Gamboshi: Simulizi ya Kweli

Share:

Swahili Informer

TV & Film


Simulizi ya kweli na mkasa uliyomtokea kijana zabron Chacha Mwita alipopelekwa gamboshi ambapo ni makao makuu ya uchawi na alipelekwa kwa mara ya kwanza na kuona wachawi, majini, na shetani na kukutana na matukio ya kutisha.