Miscellaneous
Kutana na Mshairi Zawadi Mengele aliyejikuta akifanya Sanaa ya Ushairi baada ya kumzawadia Mama yake shairi lililo amsha hisia ya Malezi. Ungana na mwandishi wetu Steven Mumbi katika makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza na mshairi huyo akianisha namna anavyopokelewa Tanzania.