Miscellaneous
Taarab Asilia ni Miongoni mwa Muiziki yenye asili ya Mwambao, Maudhui yanayojikita katika kuelimisha uhusiano kati ya Mume na Mke,Nyimbo zilizosheheni Majigambo ,Je Unamfahamu Afua Suleiman Maganga mtunzi wa Wimbo Utalijua jiji ? Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza nae kuhusu safari yake ya Muziki huo aliyoianza mwaka 1982.