Miscellaneous
Ushairi ni Sanaa inayokua kwa kasi, Washairi wameongeza ubunifu wakughani Mashairi sambasamba na matumizi ya Mirindimo ya Miziki inayopigwa na chombo kama Violin Ungana na Steven Mumbi katika makala ya nyumba ya sanaa akizungumza na mshairi Elizabeth Pastory.

