Society & Culture
Hospitali ya Mediheal Eldoret ikishirikiana na hospitali ya Shieywe Kakamega inawaletea wakaazi wa Kakamega huduma za matibabu 24/09/2021 Katika hospitali ya Shieywe. Wataalam wa magonjwa kama vile Kanza,Uti wa mgongo,Maumivu ya viungo ,kupooza n.k ,watakuwa ange kabisa kushughulikia matatizo yako! Fika pale Shieywe na kadi yako ya NHIF na rekodi za matibabu ya awali kwa suluhisho la matatizo yako! Kwa maelezo zaidi piga simu kwa 0724530538.