Miscellaneous
Hii episode inaelezea kwa undani zaidi njia mbalimbali za kuchambua soko la FEDHA/FOREX, nimeeleza kwa kina na pia kwa njia rahisi ili wewe msikilizaji uweze kuelewa jinsi ya kuchambua soko. This episode explains more deeper on concerning different types of the FOREX market analysis