Miscellaneous
Nchini DRC wiki hii kuliripotiwa makabiliano makali kati ya jeshi la polisi na wakaazi wa eneo la Buhene jimboni Kivu kaskazini, nyumba kuteketezwa na mauaji mengine ya ajabu,wakati huko Barani afrika wiki hii waziri mkuu Hamdock alitangaza nia ya kumaliza mzozo wa mto Nile kati ya mataifa ya Misri na Ethiopia, kimataifa imeangaziwa hatua ya rais wa Marekani Joe Biden ya kuondoa wanajeshi wa nchi yake huko Afghanistan pamoja na waisilamu kote duniani kuanza funga ya mwezi wa ramadhani.