Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii - Safari ya mwanzo na mwisho wake Magufuli wakati nchini Kenya kaunti 5 zafungwa

Share:

Listens: 0

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Miscellaneous


Makala hii imeangazia kuzikwa kwa aliyekuwa rais wa awamu ya tano wa Tanzania John Magufuli katika makaburi ya familia huko mjini Chato, mkoani Geita, Kaskazini Magharibi mwa Tanzania, na Huko Kenya kaunti tano, likiwemo jiji kuu Nairobi, Kajiado, Kiambu, Machakos na Nakuru, yalifungwa kuanzia Ijumaa ya marchi 26 kwa lengo la kupambana na ongezeko la maambukizi ya COVID-19 nchini humo, huku muda wa watu kutotembea katika kaunti hizo ni kati ya saa mbili usiku mpaka wa saa 10 Alfajiri.Hali nchini DRC, Uchaguzi wa Congo Brazzaville na kwingineko duniani yaliangaziwa katika makala haya