Miscellaneous
Mawaziri wa fedha kutoka mataifa ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, alhamisi ya juma hili baadhi waliwasilisha bajeti kwa mwaka wa fedha 2021/2022 kwenye mabunge yao.Huko DRC wakaazi waliorejea mjini Goma walalamikia ukosefu wa makazi na hali duni, katika eneo la Afrika magharibi rais wa Ufaransa Emmanuel Macron asimamisha operesheni za kijeshi Barkhane nchini Mali, lakini pia mkutano wa viongozi wa G7 Uingereza. Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka kupata mengi zaidi.