Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii - Koome Jaji mkuu wa kwanza mwanamke Kenya, Wakongo wakasirishwa na kauli ya Rais Kagame

Share:

Listens: 0

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Miscellaneous


Makala ya juma hili imeangazia kuapishwa kwa jaji Mkuu mpya wa Kenya Martha Koome ambaye ameweka historia ya kuwa mwanamke wa kwanza kushikilia wadhifa huo nchini humo, ziara ya rais wa Uganda Yoweri Museveni nchini Tanzania ambako pamoja na mwenyeji wake Bi Suluhu alisaini mkataba kuhusu bomba la mafuta, kule DRC matamshi ya rais wa Rwanda Paul Kagame kwamba hakuna mauaji yaliyofanyika mashariki yakihusisha majeshi ya nchi yake, kwingineko duniani machafuko ya eneo la Gaza huko Israeli