Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii - Kenya yataka mataifa jirani kuheshimu mipaka yake
Miscellaneous
Miongoni mwa yale tuliyokuandalia ni pamoja na rais wa Kenya Uhuru Kenyatta kutaka mipaka ya nchi yake kuheshimu mipaka ya nchi yake, Tanzania kuanza kupokea chanjo na sakata la Pegasus.

