Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii - DRC na Kenya kusaini mikataba ya kidiplomasia, mazishi ya rais Idris Debi huko Ndjamena

Share:

Listens: 0

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Miscellaneous


Kenya na DRC zilitiliana sahini makubaliano ya kidiplomasia, kiusalama na kibiashara, Uganda yajibu madai ya DRC mbele ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki ya ICJ huko Hague, Rais Samia amehutubia bunge na kutoa dira ya serikali yake, Mazishi ya rais wa Chad Idriss Déby Itno mbele ya viongozi kadhaa wa dunia, Urusi yaanza kuondoa vikosi vyake kutoka mipaka ya Ukraine, lakini pia siasa za Marekani Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka kupata mengi zaidi