Mjadala Kuhusu Jinsia na uwezeshaji
Miscellaneous
Makala ya Gurudumu la uchumi juma hili, inakuletea mjadala maalumu kuhusu Jinsia, mjadala ulioandaliwa na ubalozi wa Ufaransa na kurekodiwa katika studio za Idhaa ya Kiswahili ya Radio France International.

