Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Fahamu juu Mkutano wa 22 wa nchi wanachama wa mkataba wa mabadiliko ya tabianchi

Share:

Listens: 0

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Miscellaneous


Mkutano wa 22 wa nchi wanachama wa mkataba wa mabadiliko ya tabianchi umeanza huko Marrakesh, Morocco, ikiwa ni siku chache tu baada ya kuanza rasmi kutekelezwa kwa mkataba wa Paris kuhusu mabadiliko ya tabianchi. Ambapo kwenye mkutano huo mada kadhaa zimejadiliwa zikiwamo usaidizi kwa Afrika katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, uhakika wa chakula na nafasi ya jinsia na vijana Makala ya Mazingira Leo Dunia Yako kesho kwa Juma hili inagazia juu hali ya Mabadiliko ya Tabia Nchi na Athari zake