Mawese Yatakua Dili Tanzania
Miscellaneous
Watanzania kwa Ujumla Tuanze Kupanda Miche ya Kisasa ya Michikichi Kutokana na Nchi Kutumia Gharama Kubwa Kuagiza Mafuta ya Mawese Yatokanayo na Zao Hilo Kutoka Mataifa Mengine - Kassim Majaliwa Majaliwa, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania --- Send in a voice message: https://anchor.fm/maelezo-podcasts/message

