Kuwa mwanamke si kikwazo cha kufanya kazi tofauti

Share:

Gurudumu la Uchumi

Miscellaneous


Makala ya Gurudumu la Uchumi, juma hili, imezungumza na wanawake wawili kati ya wengi nchini Kenya, ambao wanafanya kazi katika huduma za usafiri wa uma, tutakuwa na Easter Wanjiru, ambae ni dereva wa Matatu na Delvin Kirubo, anayefanya kazi kama Kondakta "Maarufu nchini Kenya kama Makanga". Kupitia shirika la Flone Initiative wanawake hawa wanapata msaada kujikwamua na kukabiliana na changamoto ya kazi yenyewe.