Kutokana na kukua kwa utandawazi, vijana kujengewa uwezo kutumia teknolojia

Share:

Gurudumu la Uchumi

Miscellaneous


Katika makala ya Gurudumu la Uchumi, juma hili tunaangazia namna vijana wanaweza kujengewa uwezo kupitia vipaji walivyonavyo, kupewa ujuzi na stadi za maisha kupitia teknolojia ili kujikwamua kiuchumi. Leo tumezungumza na vijana kutoka kituo cha mafunzo ya stadi za kazi kinachofahamika kama "TUNAPANDA" kilichoko Kibera, jijini Nairobi nchini Kenya.