KIFUNGO CHA SALIMU

Share:

LevisJilani

Society & Culture


makala haya yanaangazia jinsi ndoto za wasichana wengi zinafifia kutokana na Mila na desturi za jamii husika. Jinsi ya kike inanvyimwa haki ya elimukutokana na ndoa za mapema.