Miscellaneous
Miongoni mwa yale tuliyokuandalia Jumamosi hii kwenye Jukwaa la Michezo ni pamoja na , rais wa Shirikisho nchini DRC Constatine Omar ajiuzulu nchini Rwanda, ligi kuu ya soka yafika katika hatua ya mwondoano na michuano ya soka, kuwania taji la bara Ulaya inaendelea.