Jukwaa la Michezo - Riadha: Caster Semenya ataka kushiriki michezo ya Olimpiki

Share:

Listens: 0

Jukwaa la Michezo

Miscellaneous


Bingwa mara mbili wa Michezo ya Olimpiki katika mbio za Mita 800 mwanadada Caster Semenya kutoka Afrika Kusini, anataka kufuzu katika Michezo ya mwaka huu nchini Japan kukimbia mbio za Mita 5,000. Dennis Onyango, kipa wa siku nyingi wa timu ya taifa ya soka ya Uganda, ametangaza kustaafu. Tunajadili haya na mengine mengi.