Jukwaa la Michezo - Michuano ya Euro yaanza huku French Open ikifika mwisho

Share:

Listens: 0

Jukwaa la Michezo

Miscellaneous


Michuano ya soka kuwania taji la bara Ulaya, imeanza kutifua vumbi. Mashindano ya kuwania taji la French Open katika mchezo wa Tennis, yanafika tamati jijini Paris. Tunajadili, haya na mengine mengi.