Jukwaa la Michezo - Michezo ya Olimpiki yaanza jijini Tokyo nchini Japan

Share:

Listens: 0

Jukwaa la Michezo

Miscellaneous


Michezo ya Olimpiki, iliyocheleweshwa kwa mwaka mmoja kutokana na janga la Covid 19, imeanza rasmi huko jijini Tokyo nchini Japan. Tunajadili nafasi ya mataifa ya Afrika Mashariki na Kati.