Jukwaa la Michezo - Mashindano ya kukimbiza magari yapamba moto nchini Kenya

Share:

Listens: 0

Jukwaa la Michezo

Miscellaneous


Mashindano ya dunia ya kukimbiza magari, Kenya Safari Rally, yaanendelea kupamba  moto, tutakuletea pia ripoti kutoka Rwanda kuhusu bingwa wa soka nchini humo na michuano ya nusu fainali, kuwania taji la klabu bingwa barani Afrika.