Jukwaa la Michezo - Mashindano ya kukimbiza magari nchini KenyaApril 27, 2021MiscellaneousLeo kwenye Jukwaa la Michezo, tunaangazia matukio muhimu yaliyotokea viwanjani, ikiwemo mashindano ya kukimbiza magari Safari Rally nchini Kenya.