Miscellaneous
Miongoni mwa matukio makubwa yaliyotokea wiki hii viwanjani ni pamoja na fainali ya klabu bingwa barani Afrika katika mchezo wa wavu kwa upande wa wanawake lakini pia droo ya robo fainali kuwania taji la klabu bingwa na Shirikisho soka barani Afrika bila kusahau mashindano ya kukimbiza baiskeli ya Tour de Rwanda.