Jukwaa la Michezo - Kamati kuu ya Shirikisho la soka barani Afrika yakutana jijini Kigali

Share:

Listens: 0

Jukwaa la Michezo

Miscellaneous


Michuano ya mchezo wa soka, hatua ya robo fainali, kuwania taji la klabu bingwa barani Afrika zinachezwa katika mataifa mbalimbali barani Afrika. Tunajadili hili na matukio mengine yanatokea viwanjani wikiendi na wiki hii.