Jukwaa la Michezo - Italia mabingwa wa soka barani Ulaya

Share:

Listens: 0

Jukwaa la Michezo

Miscellaneous


Italia ndio mabingwa soka barani Ulaya. Mserbia Novak Djokovic ashinda taji la Wimbeledon katika mchezo wa Tennis nchini Uingereza. Tunaangazia hili na mengine mengi yanayotokea barani Afrika.