Jukwaa la Michezo - Fainali ya soka kuwania taji la klabu bingwa barani Afrika

Share:

Listens: 0

Jukwaa la Michezo

Miscellaneous


Miongoni mwa yale tunayokuandalia ni pamoja na fainali ya klabu bingwa barani Afrika katika mchezo wa soka, maandalizi ya michezo ya Olimpiki na kumalizika kwa mashindano ya kukimbiza basikeli ya Tour de France.