Je, ziara ya Rais wa Tanzania nchini Kenya, itapunguza mivutano ya kibiashara

Share:

Gurudumu la Uchumi

Miscellaneous


Msikilizaji juma hili rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya ziara nchini Kenya na kukutana na mwenyeji wake rais Uhuru Kenyatta, ziara yake imekuja wakati huu nchi hizo mbili zikiendelea na jitihada za kuondoa vikwazo vya kibiashara kwenye maeneo ya miapaka yao, vikwazo ambayo mara kadhaa vimesababisha mataifa haya mawili kuvutana. Utamsikia Profesa Wetengere Kitojo, mtaalamu wa masuala ya diplomasia na uchumi, pamoja na Haji Kaburu, mchambuzi wa masuala ya siasa, wote wakiwa nchini Tanzania, kuzungumzia kwa kina ziara ya Rais Samia Suluhu nchini Kenya.