Hatimae Melbourne yaibuka kutoka vizuizi vya muda mrefu zaidi duniani
Miscellaneous
Sherehe za krismasi na mwaka mpya nikama ziliwasili mapema mjini Melbourne, ambao ulikuwa umejipa rekodi yakipekee yakuwa na viuzizi vya Uviko-19 vilivyo dumu kwa muda mrefu zaidi duniani.
