Miscellaneous
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, imetangaza utaratibu kuhakikisha watu waliokimbia mji wa Goma,wanaanza kurejea,watalaam wakidai mji huo uko salama baada ya hofu ya awali kwamba mlipuko mwingine wa volcano ,ungeweza kutokea. Wewe unazungumziaje mpango huu wa serikali ? Na je ,mkazi wa Goma ,uko wapi kwa sasa ?