Miscellaneous
mwezi moja umepita tangu serikali ya DRC ,itangaze hali ya dharura,kwenye majimbo ya Kivu Kaskazini na Ituri ,lakini licha ya tangazo hilo na operesheni za kijeshi ,mamia ya raia wameendelea kuwauwa na makundi ya waasi. Unazungumziaje hali hii ?Unadhani jeshi linafanyavya kutosha kumaliza mashambulizi haya ?