Miscellaneous
Serikali ya Uganda imetangaza siku 42 ya kutekelezwa masharti mapya ya kupambana Corona huku kukiripotiwa uhaba wa chanjo Je ,wewe raia unajikinga vipi dhidi ya maambukizi hayo mapya? Je maambukizi hayo mapya ni tishio kwa mataifa ya Afrika Mashariki?