Miscellaneous
Mataifa mengi barani Afrika, yanakabiliwa na wimbi la tatu la maambukizi ya Covid 19, huku Shirika la afya duniani WHO, likitaka utoaji wa chanjo kuendelea licha ya baadhi ya raia kuonekana kutoziamini. Unazungumzia vipi hali hii ? Nchi yako inatekeleza vipi mpango wa utoaji chanjo ?