Miscellaneous
Mabingwa wa Dunia katika mchezo wa soka Ufaransa wameondolewa kwenye michuano ya Euro pamoja na Mabingwa watetezi Ureno. Unafikiri timu gani itashinda taji hili la Euro? Una mtazamo gani kuhusu mwenendo wa mashindano haya? Haya hapa ni baadhi ya maoni yako