Miscellaneous
Mwishoni mwa juma lililopita rais wa Rwanda na mwenzake wa DRC walikutana katika mpaka wa nchi zao na kukubaliana kuimarisha ushirikiano wao ambao kwa miaka kadhaa ulikuwa sio mzuri. Tutarajie nini kikubwa kutokana na mazungumzo yao? Unafikiri utasaidia kumaliza machafuko mashariki mwa DRC. haya hapa baadhi ya maoni yako.

