Miscellaneous
Jeshi la Ethiopia baada ya kujiondoa kwenye jimbo la Tigray, linasema wapiganaji wa jimbo hilo sasa sio tishio tena, lakini wapiganaji hao wameapa kuendelea kupambana na jeshi la Ethiopia na washirika wake. Je, unafikiri hatua ya kusitisha vita katika jimbo la Tigray itadumu? Unahisi Jumuiya ya Kimataifa imehusika kikamifu kwenye mzozo huu? Haya hapa baadhi ya maoni yako