Habari RFI-Ki - Burundi ifanye nini kuzuia mashambulizi ya mara kwa mara

Share:

Habari RFI-Ki

Miscellaneous


Burundi imeendelea kushuhudia mashambulizi dhidi ya raia, kama ilivyoshuhudiwa mwishoni mwa wiki iliyopita katika mkoa wa Muramvya na kusababisha vifo vya watu 15. Unafikiri nani yupo nyuma ya mashambulizi haya ? Serikali ya Burundi inaweza kufanya nini kuzuia mashambulizi kama haya? Haya hapa badhi ya mapendkezo yako.