Episode 6:Wife mwenza/The other woman

Share:

Pillow Manenoz Na Khadija Shamte

Miscellaneous


Mazungumzo haya ni ya kutoa mtizamo wa mke mwenza/The other woman maana anakuwa sauti yake haisikilizwi kwa kuonekana yeye ndo alikuja kuchafua nyumba/ndoa ya wawili. Huu ni mtizamo wa pande tatu,wa mwanamme, mwanamke na mke mwenza,hili jambo liko kwenye jamii na linaleta jathba ya hali ya juu,tunazungumzia jamii kwa ujumla pia na jinsi tumekuwa tunaishi na yote haya .